Paulina wa Fulda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paulina wa Fulda (karne ya 11 – 14 Machi 1107) alikuwa mwanamke wa Ujerumani ambaye alifunga ndoa mara mbili.
Baada ya kufiwa mumewe wa pili pia alianzisha monasteri ya Paulinzelle msituni huko Thuringia[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake, 14 Machi[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads