Paulo wa Verdun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paulo wa Verdun, O.S.B. (576 - Verdun, Galia Kaskazini, leo Ufaransa, 8 Februari 648) alikuwa askofu wa 13 wa mji huo kuanzia mwaka 626[1] au 630[2], akijitahidi kustawisha liturujia na maisha ya pamoja ya wakanoni.
Kabla ya hapo alifanya kazi ikulu halafu akaishi kama mkaapweke, mmonaki na hatimaye abati[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[3][4][5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads