Perge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Perge (kwa Kigiriki: Πέργη, Perge, kwa Kituruki: Perge) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] uliowahi kuwa makao makuu ya Pamphylia Secunda, sasa katika wilaya ya Antalya, kusini-magharibi mwa pwani ya Mediteranea ya Uturuki.


Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 mashariki kwa Antalya. Baadhi ni ya Zama za Shaba.[2]
Mwaka 46 Mtume Paulo na Barnaba walifika mara mbili kuinjilisha huko (Mdo 13:13-14 na 14:25).
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads