Petro Esqueda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Petro Esqueda
Remove ads

Petro Esqueda (kwa Kihispania Pedro Esqueda Ramirez, San Juan de los Lagos, Mexico, 29 Aprili 1887 - Teocaltitlán, 22 Novemba 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko aliyetupwa gerezani kwa sababu ya upadri wake hadi alipouawa kwa kupigwa risasi nyingi wakati wa Vita vya Wakristero[1].

Thumb
Picha halisi ya Mt. Petro Esqueda.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads