Kristofa Magallanes

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kristofa Magallanes
Remove ads

Kristofa Magallanes (kwa Kihispania Cristóbal Magallanes Jara, Totatiche, Jalisco, Mexico, 30 Julai 1869 - Colotlán, Jalisco, 25 Mei 1927) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kutokana na chuki dhidi ya Kristo Mfalme na Kanisa lake [1].

Thumb
Picha halisi ya Padri Kristofa.
Thumb
Sanamu ya Cristóbal Magallanes Jara nje ya Kanisa kuu la Guadalajara, Jalisco, Meksiko.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[2]:

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads