Petro Fransisko Néron

From Wikipedia, the free encyclopedia

Petro Fransisko Néron
Remove ads

Petro Fransisko Néron, M.E.P. (1818-1860) alikuwa padri wa Ufaransa mmisionari huko Vietnam. Chini ya kaisari Tu Duc aliishi miezi mitatu amefungwa ndani ya tundu dogo na, kisha kupigwa kwa ukatili, alibaki wiki tatu bila chakula chochote. Alikamilisha ushahidi wake kwa Kristo alipokatwa kichwa.[1].

Thumb
Mt. Petro Fransisko Néron.

Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19 (16251886).

Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lạc na wenzake 116.

Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.

Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, ila ya kwake mwenyewe ni tarehe 3 Novemba[2].

Remove ads

Tazama pia

Marejeo ya Kiswahili

  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 364-365

Marejeo ya lugha nyingine

  • Les Missions Etrangères. Trois siecles et demi d'histoire et d'aventure en Asie Editions Perrin, 2008, ISBN 978-2-262-02571-7
  • "St. Andrew Dung-Lac & Martyrs", by Father Robert F. McNamara, Saints Alive and All God's Children Copyright 1980-2010 Rev. Robert F. McNamara and St. Thomas the Apostle Church.
  • "Vietnamese Martyr Teaches Quiet Lessons", By Judy Ball, An AmericanCatholic.org Web Site from the Franciscans and St. Anthony Messenger Press.

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads