Piensi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Piensi (alifariki Poitiers, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 564 hivi) alikuwa askofu wa mji huo [1][2].

Alimsaidia sana malkia Radegunda kuanzisha monasteri mbalimbali[3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Machi[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads