Proto wa Aquileia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Proto wa Aquileia (alifariki Aquileia, leo nchini Italia, 304) alikuwa Mkristo ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1].

Anatajwa kama mlezi wa ndugu Kansyo, Kansyano na Kansyanila[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads