R U Still Down? (Remember Me)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
R U Still Down? (Remember Me) ilikuwa albamu ya 2Pac ambayo ilitolewa akiwa kafa mnamo mwaka wa 1997. Japokuwa ni albamu ya pili kutolewa baada ya kifo chake, hii ndiyo ya kwanza kumaliziwa bila kutia maujanja yake 2Pac. Ameacha kazi kubwa sana ya kumalizia, hili lilikuwa toleo la kwanza la nembo mpya ya mama'ke ya Amaru Entertainment, alianzisha kwa ajili ya kudhibiti matoleo yake ambayo yatatolewa akiwa kafa. Imetoa vibao vikali viwili, "Do for Love" na "I Wonder If Heaven Got a Ghetto", ya awali ambayo (Do For Love) ilitunukiwa Dhahabu Gold na RIAA. Hatimaye albamu ikafikia kiwango cha maplatinamu-kedekede, mwelekeo ambao albamu zake nyingi za baadaye ziliufuata.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
CD A
CD B
Remove ads
Chati za albamu
Single za albamu
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu R U Still Down? (Remember Me) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads