Ragenfrida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ragenfrida (pia: Renfroie, Rainfroye, Refroye, Ragenfréde, Ragenfredis; karne ya 8 - 805 hivi), alikuwa mwanamke wa Ufaransa wa leo aliyeanzisha monasteri huko Denain, na kuiongoza vizuri kama abesi[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[2].
Alikuwa mtoto wa wazazi wa koo mashuhuri, ambao pia wanaheshimiwa kama watakatifu Adalberto II wa Ostrevent na Rejina.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads