Raimundi Li Quanzhen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Raimundi Li Quanzhen (Chentuncun, 1841 hivi - Chentuncun, 30 Juni 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa pamoja na kaka yake Petro Li Quanhui. Alipopelekwa katika hekalu la dini za jadi, alikataa kuabudu miungu akapigwa hadi kufa [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 30 Juni[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads