Ramon Nonat
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ramon Nonat[1], O. de M. (Portell, 1204 – Ngome ya Cardona, 31 Agosti 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Catalonia, Hispania.

Kadiri ya karama ya shirika lake, ambamo mwenyewe alikuwa kati ya wafuasi wa kwanza wa Petro Nolasco, alikwenda mara mbili Algeria kukomboa watumwa akajitoa kutekwa mwenyewe hadi malipo yatakapokamilika[2]. Kwa ajili hiyo aliteseka sana kwa jina la Yesu [3].
Papa Aleksanda VII alimtangaza mtakatifu mwaka 1657.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads