Rembati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rembati (Flandria, 830 – Bremen, Ujerumani, 11 Juni 888) alikuwa askofu mmisionari wa Hamburg na Bremen kuanzia mwaka 862.

Alifanya kazi ya kueneza Injili Ujerumani Kaskazini, Udani na Uswidi kwa kufuata mfano wa rafiki na mtangulizi wake Ansgar Mtakatifu[1][2].
Ndiye aliyeandika habari za maisha yake katika kitabu kilichoenea sana katika Karne za kati [3].
Pia alikomboa Wakristo waliotekwa na Wanormani wavamizi.
Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads