Richa Adhia

modo na mshiriki wa mashindano ya urembo From Wikipedia, the free encyclopedia

Richa Adhia
Remove ads

Richa Maria Adhia (alizaliwa Dar es Salaam, 1 Mei 1988) alikuwa mshindi wa Miss Tanzania wa mwaka 2007[1].

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Nchi ...

Mama yake alizaliwa kisiwani Pemba, na baba yake alizaliwa Morogoro, Tanzania. Yeye alizaliwa jijini Dar es Salaam akakulia mjini Mwanza, Tanzania.

Richa alikuwa mshindi wa kwanza wa Miss Tanzania mwenye asili ya Uhindi.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads