Rikarda

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rikarda
Remove ads

Rikarda, OSB (pia: Richgard, Richgardis, Richardis, Richarde; 840 hivi – Andlau, leo nchini Ufaransa, 18 Septemba[1][2] 894 hivi) alikuwa mke[3] wa kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma (Ujerumani) Karolo III[4][5][6]. Huyo alipofariki dunia, yeye alijiunga na monasteri aliyokuwa ameianzisha akaishi huko hadi kifo chake [7].

Thumb
Mozaiki ikimuonyesha Mt. Rikarda pamoja na mume wake.

Mwaka 1049 alitangazwa na Papa Leo IX kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba [8].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads