Rikardo Pampuri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rikardo Pampuri
Remove ads

Rikardo Pampuri, O.H. (Trivolzio, 2 Agosti 1897 - Milano, 1 Mei 1930) alikuwa daktari halafu bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia [1].

Thumb
Mt. Rikardo Pampuri.

Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 1 Novemba 1989.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads