Rikari

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rikari
Remove ads

Rikari (kwa Kifaransa: Riquier; Ponthieu, leo nchini Ufaransa, 560 hivi - Crécy, 26 Aprili 645 hivi), baada ya kuongokea Ukristo kwa juhudi za wamonaki kutoka Ireland, alikuwa padri aliyefanya umisionari nchini kwao na huko Uingereza[1]. Hatimaye aliishi kama mkaapweke msituni alipoanzisha monasteri [2][3][4].

Thumb
Panapotunzwa masalia yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[5].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads