Robati wa Chaise-Dieu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Robati wa Chaise-Dieu (pia: wa Turlande; Auvergne, Ufaransa, 1000 hivi - Chaise-Dieu, Ufaransa, 17 Aprili 1067) alikuwa mmonaki padri, maarufu kwa kuanzisha monasteri ya La Chaise Dieu wa shirika la Benedikto wa Nursia alipokuwa anaishi kwanza kama mkaapweke, na kwa juhudi zake kwa ajili ya fukara [1][2][3].

Pia alimpatia Mungu watu wengi kwa mahubiri na kwa mfano wa maisha yake.
Alitangazwa na Papa Klementi VI kuwa mtakatifu tarehe 19 Septemba 1531[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
