Romariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Romariki (alifariki Remiremont, leo nchini Ufaransa, 653) alikuwa mkabaila aliyeishi ikulu kama mshauri wa mfalme Teudebati, lakini baadaye akawa mmonaki huko Luxeuil na padri aliyeanzisha pamoja na Amato wa Habend monasteri dabo huko Hamend, Bourgogne, akawa abati [1].

Alitangazwa na Papa Leo IX kuwa mtakatifu tarehe 3 Desemba 1049.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads