Roza Eluvathingal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roza Eluvathingal (jina la kitawa: Eufrasia wa Moyo Mtakatifu wa Yesu; Kattoor, Kerala, 17 Oktoba 1877 - Ollur, 29 Agosti 1952) alikuwa mtawa Mkarmeli wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.

Alitangazwa mwenye heri na askofu mkuu kabisa wa Kanisa hilo, Varkey Vithayathil, tarehe 3 Desemba 2006 akatangazwa mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 23 Novemba 2014[1].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads