Roza Zhao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Roza Zhao (Zhaojia, 1878 hivi - Zhaojia, mnamo Julai 1900) alikuwa mwanamke katekista wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Pamoja na mama yake Maria Zhao Guozhi na mdogo wake Maria Zhao alijitupa kisimani wasije wakabakwa, lakini walitolewa nje, wakauawa na kuchomwa moto[1]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads