Maria Zhao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Zhao (Zhaojia, 1883 hivi - Zhaojia, mnamo Julai 1900) alikuwa msichana wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Pamoja na mama yake Maria Zhao Guozhi na dada yake Roza Zhao alijitupa kisimani wasije wakabakwa, lakini walitolewa nje, wakauawa na kuchomwa moto[1]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads