Rufo wa Avignon

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Rufo wa Avignon alikuwa askofu wa kwanza wa Avignon, Provence (leo nchini Ufaransa) kabla ya karne ya 5[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads