Saba Mgoti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Saba Mgoti (kwenye mto Buzau[1] , leo nchini Romania 334 hivi[2] - Targoviste, Romania, 12 Aprili 372) alikuwa Mkristo wa kabila la Wagoti. Kwa hiyo aliteswa vikali na mfalme wake, Atanariki[3], kwa ajili ya imani, iliyomfanya akatae kula nyama iliyotolewa sadaka kwa miungu, na hatimaye alitoswa mtoni[4][5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads