Sagari

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sagari (alifariki Laodikea, Frigia, leo nchini Uturuki, 175 hivi) alikuwa askofu wa mji huo[1] aliyeuawa na serikali ya Dola la Roma, chini ya kaisari Marcus Aurelius na gavana wa Asia Ndogo Servilius Paulus, kwa sababu ya imani yake ya Kikristo[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Oktoba[3].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads