Salmodi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Salmodi (pia: Psalmodius, Psalmet, Sauman, Saumay; aliishi karne ya 7) alikuwa mkaapweke karibu na Limoges, Akwitania, leo nchini Ufaransa[1].
Alitokea funguvisiwa la Britania (Ireland au Uskoti), akiwa mwanafunzi wa Brendan[2] .
Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads