Samsoni wa Dol
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Samsoni wa Dol (Wales Kusini, 485 hivi - Dol-de-Bretagne, Neustria, leo nchini Ufaransa, 565 hivi) alikuwa mmonaki nchini kwake, halafu askofu mmisionari wa Dol huko Bretagne alipoeneza Injili pamoja na nidhamu ya kimonaki aliyojifunza kwa abati Iltud huko kwao [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads