Seleukia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
36°07′26″N 35°55′19″E Seleukia (pia: Suedia; Seleukia Baharini; kwa Kigiriki: Σελεύκεια ἐν Πιερίᾳ) ulikuwa mji wenye bandari ya Antiokia, karibu na kijiji cha leo cha Çevlik[1], wilaya ya Hatay kusini-mashariki mwa Uturuki.


Seleukia Pieria ulianzishwa mwaka 330 KK hivi na Seleuko I Nikatori, mmoja kati ya waandamizi wa Aleksanda Mkuu.[2] Ndiyo asili ya jina[2].
Mtume Paulo na Barnaba walianza huko safari zao za kimisionari mwaka 45 hivi (Mdo 13:4). Baadaye Paulo alihitaji kupita huko mara mbili tena.
Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads