Servulo wa Trieste
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Servulo wa Trieste (alifariki Trieste, Italia) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads