Setei

From Wikipedia, the free encyclopedia

Setei
Remove ads

Setei (kwa Kiitalia: Cetteo; karne ya 6 - 597 hivi) anatajwa kama askofu wa Amiterno, leo San Vittorino, au wa Aternum, leo Pescara, yote miwili katika mkoa wa Abruzzo, Italia,[1], ambaye Walombardi walipovamia maeneo yale aliuawa kwa kutoswa mtoni amefungiwa jiwe kubwa shingoni kwa kusingiziwa kwamba alisaliti mji wake [2].

Thumb
Kanisa kuu la Pescara, lenye jina lake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Juni.[3]

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads