Severini Boesyo
Seneta wa Kirumi na mwanafalsafa wa mapema karne ya 6 From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Severini Boesyo (jina kamili kwa Kilatini: Anicius Manlius Severinus Boëthius[1][2][3] Roma, 480 – Pavia, 524 BK), alikuwa seneta wa Bunge la Roma, gavana, magister officiorum, na mwanafalsafa wa mwanzo wa karne ya 6.

(mchoro mdogo wa mwaka 1385 katika nakala ya Consolation of Philosophy.)

Maarufu kwa elimu na kwa maandishi yake, alimtumikia Mungu kwa uaminifu hadi kifodini chake [4].
Remove ads
Maisha
Aliishi na kufanya kazi chini ya utawala wa Waostrogoti walioteka Italia na kumaliza Dola la Roma miaka 4 kabla hajazaliwa.
Hatimaye mfalme Theodoriki Mkuu aliagiza auawe mwaka 524 kwa tuhuma ya kufanya njama ya kumuua.[5]
Akiwa gerezani, Boesyo aliandika kitabu chake bora, De Consolatione Philosophiae ("Faraja ya Falsafa"), ambacho ni kati ya vile vilivyoathiri zaidi Karne za Kati[6].
Heshima baada ya kifo

Tangu mwaka 1883 Kanisa Katoliki linamheshimu Boesyo kama mtakatifu mfiadini.[7]
Papa Benedikto XVI alifafanua umuhimu wa Boesyo kwa Wakristo wa leo kwa kuhusianisha mafundisho yake na uelewa wa Maongozi ya Mungu. [8]
Maandishi
- Hisabati
- De arithmetica (On Arithmetic, c. 500) adapted translation of the Introductionis Arithmeticae by Nicomachus of Gerasa (c. 160 – c. 220).
- De musica (On Music, c. 510), based on a lost work by Nicomachus of Gerasa and on Ptolemy’s Harmonica.
- Possibly a treatise on geometry, extant only in fragments.[10]
- Mantiki
- A) Tafsiri
- Porphyry’s Isagoge
- In Categorias Aristotelis: Aristotle's Categories
- De interpretatione vel periermenias: Aristotle's De Interpretatione
- Interpretatio priorum Analyticorum (two versions): Aristotle's Prior Analytics
- Interpretatio Topicorum Aristotelis: Aristotle's Topics
- Interpretatio Elenchorum Sophisticorum Aristotelis: Aristotle's Sophistical Refutations
- B) Ufafanuzi
- In Isagogen Porphyrii commenta (two commentaries, the first based on a translation by Marius Victorinus, (c. 504-5059); the second based on Boethius’ own translation (507-509).
- In Categorias Aristotelis (c. 509-511)
- In librum Aristotelis de interpretatione Commentaria minora (not before 513)
- In librum Aristotelis de interpretatione Commentaria majora (c. 515–16)
- In Aristotelis Analytica Priora (c. 520–23)
- Commentaria in Topica Ciceronis (incomplete: the end the sixth book and the seventh are missing)
- Vitabu vya pekee
- De divisione (515–520?)
- De syllogismo cathegorico (505–506)
- Introductio ad syllogismos cathegoricos (c. 523)
- De hypotheticis syllogismis (516-522)
- De topicis differentiis (c. 522–23)
- Opuscola Sacra (Theological Treatises)
- De Trinitate (c. 520–21)
- Utrum Pater et Filius et Spiritus Sanctus de divinitate substantialiter praedicentur (Whether Father and Son and Holy Spirit are Substantially Predicated of the Divinity)
- Quomodo substantiae in eo quod sint bonae sint cum non sint substantialia bona [also known as De hebdomadibus] (How Substances are Good in that they Exist, when They are not Substantially Good)
- De fide Catholica
- Contra Eutychen et Nestorium (Against Eutyches and Nestorius)
- De consolatione Philosophiae (524–525).
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads