Severini wa Paris
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Severini wa Paris (alifariki Paris, leo nchini Ufaransa, 540 hivi) alikuwa mkaapweke aliyeishi miaka mingi amejifungia katika chumba huko Paris akimuelekea Mungu katika sala [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu [3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[4].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads