Shaunge

Ndege wa maji wa familia Rallidae From Wikipedia, the free encyclopedia

Shaunge
Remove ads

Shaunge ni ndege wa jenasi Porphyrio katika familia ya Rallidae. Huitwa kukutanda pia. Wanafanana sana na kukuziwa lakini rangi yao ni buluu au zambarau. Wana kigao chekundu isipokuwa Porphyrio flavirostris, ambaye ana kigao njano, na P. martinicus, ambaye ana kigao buluu. Mwenendo wao ni kama kukuziwa.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi za Afrika

  • Porphyrio alleni, Shaunge kijani au Kukutanda Mdogo ( Allen’s Gallinule)
  • Porphyrio coerulescens, Shaunge wa Réunion (Réunion Swamphen au “Oiseau bleu”) imekwisha sasa (kadiri ya 1730) - imeainishwa kutokana na ripoti za wasafiri
  • Porphyrio madagascariensis, Shaunge wa Afrika au Kukutanda wa Afrika (African swamphen)
  • Porphyrio porphyrio, Shaunge Magharibi, Kukutanda Zambarau au Kibite (Western swamphen)
Remove ads

Spishi za mabara mengine

Remove ads

Spishi za kabla ya historia

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads