Sigirani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sigirani (pia: Sigiran(d), Sigiramne, Sigirannus, Siran au Cyran; alifariki 655 hivi) alikuwa kabaila wa Ufaransa ambaye kwanza alifanya kazi ikulu, halafu akawa padri, shemasi mkuu, mhubiri asiye na makao, na hatimaye abati mwanzilishi wa monasteri mbili [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Desemba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads