Sigolena

From Wikipedia, the free encyclopedia

Sigolena
Remove ads

Sigolena (kwa Kifaransa: Sigolène, Ségolène, Sigouleine, Segouleine; alifariki 769) alikuwa mwanamke wa Ufaransa ambaye, baada ya kuolewa na kubaki mjane akiwa na umri wa miaka 22, alijitoa kuhudumia maskini na kusali.

Thumb
Sanamu yake katika kanisa kuu la Albi.

Hatimaye alianzisha monasteri huko Troclar ambayo akawa abesi wake wa kwanza[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 24 Julai[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads