Selina
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Selina (kwa Kifaransa: Celine, Cilinie; alifariki Laon, Ufaransa, 464 hivi) ni maarufu kwa sababu alikuwa mama wa maaskofu Prinsipi wa Soissons na hasa Remigius wa Reims[1], aliyechangia wongofu na ubatizo wa mfalme wa Wafaranki Klovis I na wa taifa zima.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads