Simeoni wa Mantova
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simeoni wa Mantova (Armenia ya Kale, karne ya 10 - Polirone, Mantova, Italia, 26 Julai 1016) alikuwa mmonaki na mkaapweke wa Armenia ya Kale ambaye alihiji patakatifu pengi huko Mashariki ya Kati akahamia Ulaya.

Uzeeni aliishi katika monasteri ya Wabenedikto [1].
Alitangazwa na Papa Benedikto VIII kuwa mwenye heri mwaka 1024[2], halafu Papa Leo IX alimtambua kama mtakatifu mwaka 1049.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads