Simplisi wa Sardinia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simplisi wa Sardinia alikuwa padri katika kisiwa cha Sardinia, leo nchini Italia[1].

Pengine anatajwa kama askofu au pia kama mfiadini.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads