Sinforiani wa Autun
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sinforiani wa Autun (alifariki 178 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo, leo nchini Ufaransa aliyeuawa kwa ajili ya imani yake.


Wakati wa kwenda kuuawa, mama yake alimlilia kutoka ukutani mwa ngome ya mji, "Mwanangu, mwanangu, Sinforiani, umkumbuke Mungu aliye hai. Leo uhai wako hauondolewi bali unaboreshwa tu"[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads