Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika

cool boe From Wikipedia, the free encyclopedia

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
Remove ads

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Kiing. Southern African Development Community kifupi: SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980.

Thumb
Nchi wanachama za SADC

Jina la awali "Southern African Development Community Conference" (SADCC) lilifupishwa kuwa Southern African Development Community tarehe 17 Agosti 1992.

Nchi wanachama

Wanachama ni: Afrika Kusini, Angola, Botswana, Eswatini, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lesotho, Madagaska, Malawi, Morisi, Msumbiji, Namibia, Shelisheli, Tanzania, Zambia, Zimbabwe. Hivyo ina nchi takribani 16 ndani yake. Pia Burundi imeomba kujiunga.

Makao makuu yake yako Gaborone nchini Botswana.

Sababu za kuundwa kwa SADC

Malengo ya SADC:

  1. kuleta ulinzi na usalama katika nchi husika
  2. kuleta mshikamano baina ya nchi wanachama
  3. kuongeza na kukuza biashara baina ya nchi hizo

Tazama pia

Tanbihi

Loading content...

Marejeo

Loading content...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads