Stefano wa Perm
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Stefano wa Perm (kwa Kirusi Стефан Пермский; 26 Aprili 1340 - 26 Aprili 1396[1]) alikuwa mmonaki mchoraji aliyeleta Ukristo kwa Wakomi na kuwa askofu wa kwanza wa jimbo la Perm, akibomoa sanamu za miungu na kujenga makanisa, mbali na kubuni mwandiko wa Kiperm na kutumia lugha ya wenyeji katika kuthibitisha imani na kuadhimisha liturujia[2][3].


Alitangazwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi kuwa mtakatifu tarehe 26 Aprili 1754. Anaheshimiwa hivyo na Kanisa Katoliki pia.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Marejeo ya lugha nyingine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads