Steiermark
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Steiermark (kwa Kislovenia: Štajerska) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1.211 kwenye eneo la km² 16.392 (2013).



Jiografia
Steiermark imepakana na majimbo ya Austria ya Karinthia, Salzburg, Austria Juu, Austria Chini na Burgenland.
Miji mikubwa ni pamoja na Graz na Leoben.
Mur na Enns ndiyo mito muhimu zaidi.
Picha za Steiermark
- mlima Dachstein
- Gesäuse
Tovuti za Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Steiermark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads