Austria Chini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Austria Chini
Remove ads

Austria ya Chini (kwa Kijerumani: Niederösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la km² 19.177.

Thumb
Mahali pa Austria Chini katika Austria
Thumb
bendera ya Austria Chini

Mji mkuu ni Sankt Pölten.

Waziri mkuu ni Johanna Mikl-Leitner (ÖVP).

Jiografia

Austria ya Chini imepakana na Ujerumani na majimbo ya Austria Juu, Steiermark, Burgenland na Vienna.

Miji mikubwa ni pamoja na Sankt Pölten na Wiener Neustadt.

Danubi na Morava ni mito muhimu zaidi.

Picha za Austria ya Chini

Tovuti za Nje

Ukweli wa haraka


Maelezo zaidi Majimbo ya Austria ...
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Austria Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads