Sterlitamak
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sterlitamak (kwa Kirusi: Стерлитамак) ni mji wa Urusi. Una wakazi 264.362. Uko katika mkoa wa Bashkortostan.

Mzalishaji mkubwa wa kemikali katika mji huo ni BSK, Kampuni ya Bashkir Soda.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sterlitamak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads