Sulpisi Pius
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sulpisi Pius (alifariki Bourges, leo nchini Ufaransa, 17 Januari 647) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 624, baada ya kuishi ikulu. Alijali kuliko yote huduma kwa maskini na alikamilisha kazi ya kuinjilisha wakazi wa jimbo lake kwa kuwavuta Wayahudi na Wapagani wa mwisho katika Ukristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 17 Januari[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads