Teodari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Teodari (pia: Theuderius, Theuderis, Theudar, Theodore, Theudère, Cherf, Chef; alifariki karibu na Vienne, Ufaransa, 575 hivi) alikuwa mfuasi wa Sesari wa Arles ambaye alimpadrisha na kumweka kuwa mwombezi na muungamishi wa waumini wa jimbo lake [1]
Hata hivyo baadaye, akitamani kuwa mmonaki, alianzisha monasteri walau moja, na hatimaye alijifungia ndani kuishi kama mkaapweke.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads