Teresa Eustoki Verzeri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Teresa Eustoki Verzeri (Bergamo, Lombardia, 31 Julai 1801 – Brescia, 3 Machi 1852) alikuwa mwanamke wa Italia kaskazini ambaye, baada ya kuacha monasteri ya Wabenedikto, alianzisha shirika la Mabinti wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kwa ajili ya kulea wasichana. Jina lake la awali lilikuwa Ignazia[1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XII tarehe 27 Oktoba 1946, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Juni 2001[2].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads