Theonesti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Theonesti (alifariki Vercelli, Italia Kaskazini, karne ya 3 hivi) anakumbukwa kama mfiadini wa mji huo [1].

Askofu Eusebi wa Vercelli alijenga kanisa juu ya kaburi lake.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Novemba.[2]
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads