Titus Brandsma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Titus Brandsma
Remove ads

Titus Brandsma, O.Carm. (jina la kuzaliwa: Anno Sjoerd Brandsma; Oegeklooster, Friesland, Uholanzi, 23 Februari 1881 [1] Dachau, Bavaria, Ujerumani, 26 Julai 1942) alikuwa padri Mkarmeli aliyefungwa katika kambi ya maangamizi ya Wanazi ambapo alivumilia kwa utulivu aina zote za maumivu na dharau ili kutetea Kanisa na kulinda heshima ya binadamu, akitoa mifano bora ya upendo kwa wafungwa wenzake na kwa watesi wao wenyewe [2]. Hatimaye alichomwa sindano ya sumu [3].

Thumb
Picha halisi ya Mt. Titus (miaka ya 1920).

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Novemba 1985, na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Mei 2022[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[5].

Remove ads

Maandishi yake

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads