Tiwi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tiwi ni kata ya kaunti ya Kwale, eneo bunge la Matuga, nchini Kenya[1].
Tiwi ni makazi madogo na ya mapumziko yaliyoko pwani,[2] kaskazini mwa ufukwe wa Diani, takribani kilomita 17 kusini mwa Mombasa.[3]
Eneo limehudumiwa na uwanja wa ndege wa Ukunda uliopo barabara ya A14.
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads